Jumamosi, 24 Desemba 2016

Krismasi, mwaka mpya na Pasaka si Ukristo bali ni sehemu tu - Herman Gm

            Kweli kokombe hiki hakikuwasstahili wayunani ila ni kwa yahudi pekee na hata kwa ubabe wa Kirumi kamwe kiango kisingeweza kustahimili joto lile labda kwa karne 2 za mwanzoni ndo awe myunani??
Ingekuwa hadidhi ya Herode kumuua YESU kama ambavyo hadithi za leo huitikiwa"njoo uongo, ukweli utamu kolea" mbali na kuamini kuwa hadithi zina uongo lakini bado tunahitaji kusimuliwa, huhitaji kuambiwa kuwa kuna misitu mikubwa ya dhahabu isiyochacha lakini hakuna mwenye kusafiri ubali huo kuipata ijapokuwa ni rahisi sana kumpata mtoa hadithi huku wengine tukiamini kuwa Biblia ni Kitabu,huenda ikawa kweli kwa kuwa kina mkusanyiko wa maelezo yaliyo katika karatasi.
 hiki si kikombe cha kutumia kwa wakati wa asubuhi, labbda ukibahatika jioni kubwa lakini ni maalumu kwa usiku pekee.  Nami natarajia kutumia usiku tu.
        kwani si ni ukweli kuwa Ibrahimu hakuwa na shaka kwa MUNGU!!! lakini kwa nini  hakupata heshima ya kuwa mrishi kama ilivyokuwa kwa Yusuph mumewe yule Bikira maria???
kweli huu si wakati wa kutumia chakula cha wageni hasa wanaotoka nje ya nchi ambao si watanzania, labda ingekuwa wanatoka hapo Uganda na Kenya, lakini wanatoka Iraq na Iran, si sawa na wale waerobu wa kaskazini na Kusini??? Naam Mimi Ndiye!!!
Mke niliye ametokana na matunzo mazuri kya wazazi wake hasa mama yake.
           Sasa itakuwaje Krismasi Bila ya YESU?? haipo !!!!!!!!!!! huu ni wakati hasa wa kunywa maji masafi na salama kwa afya, na sio chakula kwa shibe kwa kuwa uhai ni bora kuliko kuishi. wakati ukifunua Biblia neno la kwanza liwe Biblia Takatifu,  haya ni maneno mawili, yaani "Biblia" na "Takatifu"  Je Biblia ni nini? na Takatifu ni nini? ni sawa katika maana yetu lakini huu si wakati wa kula ugali, labbda kunywa maji pekee....... kimsingi kuana mahusiano makubwa kwa maneno haya japo ni makala kubwa na ndefu sana kuimaliza kwa kuwa jua ni kali sana kuchwa kwa majira yetu ya mashariki hasa hapa Tanzania.
            Kuna uhusiano upi kwa Diini na Biblia Takatifu? pia hivi ni vitu tofauti vinavyoelekeana kwa ukaribu sana, lakini je ni kipi kilianza kati yake? ni kukubwa na muhimu zaidi kati yake?
Somo hili hatakiwi kufundisha mwalimu wa historia au Kemia bali ni mwalimu wa Biolojia na Hisabati wakiambatana na mwalimu wa kiswahili/ kiingeleza. ni wakati kwa kunywa maji upya kwani ni adhuhuri sasa.
kimsingi hakuna krismasi bila  YESU KRISTO, wapo wanasema hakuna kuishi bila yake lakini nasema hakuna uhai bila yake. kwa kuwa uhai ni bora kuliko kuishi lakini kuishi ni faida tu.
Wakati huu unapojiandaa na misa ya mkesha wa Krismasi uanelewa nini maana ya Krismasi? Krismasi si agizo wala kanuni, lakni hilo ni tukio tu kama matukio mengine, lina maana gani tukio hili kwako? msingi wa tukio hili ni nini katika maisha yako??? Au unakumbuka kama unavyosheherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwako??? maana ya Krismasi siyo sherehe wewe Mkristo, na hii ndiyo sababu nimeona nikuandikie ujumbe huu. lakini nini maana ya sherehe? la hasha ni kula kunywa kufurahi. nakukukmbusha kuwa ili  Krismasi iwe na maana kwako ni lazima iguse maisha yako ya kila siku, nawe ukiona haifanyi hivyo, fanya mambo mengine kwani haitasaidia lolote, jifunze kukumbuka vitu muhimu na siyo vilivyo vyote, na zaidi ya yote maana ya mambo yote ni lazima yawe na chanzo muhimu.
         Krismasi siyo tarehe 25 Dec, kwa kufikiri hivyo utakuwa mwalimu wa historia kitu ambacho hakina uhalisia wa maisha ya ndani. pasaka si tarehe hizo nayo pia haitakuwa na maana ya uhai.
kabla hujaitunza sherehe yoyote ya kidini kwanza Elewa maana ya sherehe ama kumbukumbu    hiyo kwani kutofanya hivyo ni sawa na kuwa mtumwa wa hayo na Bwana YESU KRISTO anasema "siwati tena ninyi watumwa"
Niwatakie tafakari njema ya Kuzaliwa Bwana wetu YESU KRISTO.