Alhamisi, 19 Januari 2017

Mkamilo:"Furahini hivyo hadi mwezi Marchi"

Ni ukweli kuwa kwenye mpira kuna mambo mengi na ni mchezo wa makosa, hakuna asiyejua kuwa mpira hauna mwenyewe japo kuna wakati watu huamini kuwa Barcelona,R.Madrid,A,Madrid, sevilla ni lazima iwe bingwa kwenye kila msimu kulingana na imani yao juu ya timu hizo lakini wataalamu kama koach Masimango huamini kuwa katika mpira anayezichanga karata zake vizuri ndiye anayeshinda japo usajiri husadia.
kuan kamsemopia huwa ni kazuri san kuwa 'mwenzako akinyolewa za kwako wek maji'  hivi unawezaje kuamini kuwa baba humwita mwanae baba? lakini si kweli kuwa hujawahi kusikia hayo na huenda hata wewe umewahi kumwita mwanao aidha wa kike mama au wa kiume baba, haipingiki kwa kuwa huyo ni mama na baba yako wa kesho.
hakuna aliyeamini kama Daudi angeweza kumuua Goliath lakini kwa wanaoamini kwa MUNGU lilikuwa jambo dogo sana hasa ukizingatia hata YESU si kwamba alishindwa kuzuia kifo chake bali kwa kuwa ilkuwa imeandikwa ni lazima hayo yatokee ili MUNGU ajitukuze ikawa kama ilivyo ndio maana hadi leo Menja Marchella japo na umbo lake lakini anakipiga kama Simoni Msuva. huu ni wakati wa kufurahi kwenu tena sana kwani hata kesho yako huijui kwani akiba haiozi.
            nachoweza kusema hata wewe Mtani wangu (Simba Sc)  ikibidi leo iliyo yako furahi sana kwani ukuta wako uko karibu na wakati huo ikiwezakana zidisha mapambio hayo. na ukweli ni kwamba inakaribia siku aliyofungiwa Jerry Muro.
unajua ni nini hapo? unawezaje kuamini kuwa Man united tena chini ya mbabe Mourinho wanakubali kipigo cha 4-0 dhidi ya Mfaransa Antonio Konte?? hapo unamtaka ubaya Masimango kwani hawaishi kupeana vijembe na Urio anayewajua wachezaji ulaya hadi kijiji wanapozaliwa, sajili zao miaka yao ya soka, na lini watastaafu soka lakini hamjui baba yake mzazi ni urio au ni mlezi. kama unabisha muulize hahahaaa!!!!!!!!! huo ndio mpira bwana kama huujui kaa pembeni. unawezaje kuchukia kuona Pep Gardiola anakubali dozi kali dhidi ya Klopp?? hivi inaingia akilini kuwa wasioamini katka mpira japo ni mashabiki, si hapo tu unawezaje kukaa kimya kuona yYanga iliyosheheni mastaa wa nguvu na wanakubali kupata pointi 1 dhidi ya A.Lion yenye wachezaji wa3 wa kigeni tena mmoja yuko golini? na hao wa nyumbani ni wa kawaida sana hata hawamfikii Malimi Busungu au Laudt Mavugo? lakini mabingwa wanasimama mara baada ya mtani Simba kukubali kupokea kipigo cha goli ya usiku.
           Mimi sishangai kwa Yanga kupokea kipigo cha goli 4-0 dhidi ya Azam, azam si timu ndogo wala changa, si zaidi ya Brazil waliokubali kupokea 7-0 unadhani iliwachukuwa muda gani wacheza kurudi katika hali yao ya kawaida??
               hapo Mtani umetulia kimya ukipiga maneno ya dharau mengi sana . lakini huu ndio wakati  mnapoisifia TFF na Bodi ya Ligi kuwa wamewasikliza kwa mambo mengi, nami nasema utulivu huo uzidi kama sasa ulivyo hadi mwezi Marchi. kwetu sisi tumeyapokea maneno na kila aina ya stili zenu kwani tunaamini ninyi si maadui zetu bali ni watani wetu.ndani ya siku 2 naona mmeanza kuweka zile Plan B, nawashauri acheni kejeli jamani ligi ndio kwanza inanoga, bado mechi 11 mnapiga kelele zote hizo?? ni mechi 1 mmefunga midomo, hao ni mtbwa tu, anawasubiri Maxime hapa Kaitaba, unadhani ni rahisi kupata point tatu wa Kaseja J?
mlifurahi sana kuporomoka kiwango mechi za mwisho za kombe la Mapinduzi mkiombea iwe hivyo hadi VPL, kukosa kwa Ngoma ilikuwa jibu tosha kuwa lazima tukae ukiwa huko songea lakini mkekaa vizuri hapo Jamhuri stadium kwa wakata miwa na wengine wanawasubiri huku, si mnatuita sisi ni 4G sasa ubatizo huo wa mchanga tumeupokea , lakini mzidi kutubatiza hadi Marchi.
           Sasa hivi hakuna lawama zozote kwenda TFF na bodi ya ligi lakini nawasihi tena msiwasumbue hata kidogo tunapokuja kukaa nyumba yetu kwani huwa hamchelewi kuandika barua kwa Malinzi, kaka Haji Manara sijamsikia ni muda mrefu, uwe hivyo hadi Marchi, Anapodengua Ngoma Kaseke anatingisha wavu, akishinndwa Msuva, Niyonzima anaweka mpira kati, huko akishindwa Kichuya, hakuna Mzamiru wala Ajibu, wala Mavugo. huku hata Yondani anazamisha tuu. . hebu niseme
"Ukikumbuka kula Usisahau kwenda chooni"