Jumatatu, 21 Oktoba 2019

"MUACHENI AMALIZE KISHA APUMZIKE"

"MUACHENI AMALIZIE KISHA APUMZIKE"


Mungu kwa asili yake hakuwahi kuumba kibaya na kwa uzuri wake aliumba vyote vizuri. Kila aina ya uumbaji alioufanya tazama aliona ni vizuri tu, hakutamani kuumba kilicho kibaya kwa kuwa yeye pia ni mzuri, (mwanzo 1:1-26)
Muacheni afanye kazi kwa uhuru atufikishe pale alipotazamia kuifikisha Nchi, msimpe mateso ya kuongeza muda wake, alishasema kama atapata ridhaa 2020 basi itatosha hataki kuwa na kipindi kingine . sasa nyie mnaotaka kurekebisha kanuni ya uongozi mtamfanyia kazi ninyi? 
Mh. Rais ni msomi na anajua nini Tanzania inataka na hayuko radhi kuendelea kuongoza baada ya mwaka 2025, kama mnapambana kumbadilishia kanuni basi mjipange kufanya ninyi kazi, naongea na ww unaesoma hapa kuwa Mh. hayuko radhi kuongeza muda kama unataka kagombee wewe mwaka 2025 sio kumzeesha Mh. halafu uzee akapumzika kwa shida. tumuonee huruma jamani kwa kazi hizi anazofanya ni ngumu mno na yeye apumzike.

kama unampenda Rais JPM sema "APUMZIKE 2025"🖵

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni